Rapper kutoka
kundi la Watengwa lililopo A-City,JCB ambae hivi karibuni ametoka kuachia track yake
inayokwenda kwa jina la Niende Wapi akiwa
ameshirikiana na Domokaya
amevuta jiko hivi karibuni...
JCB sasa ameuacha u-bachelor rasmi baada ya
kufunga ndoa rasmi siku ya jumatano ya Tarehe
20 mwezi huu. Ndoa
hii imeonekana kuwa ni ya kimya kimya sana maana sio watu wengi waliokuwa
wakijua juu ya tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment