
Moja
kati yasifa za Rihanna
ni kila vazi analo vaa lina mtoa na siku ya jana alikuwa katika mwonekano wa
vazi jipya katika matoleo yake ya vazi lake la “double top” jeans ambalo ameliva katika party iliyo fanyika katika mji wa London na
vazi hili lipo katika collectin yake ya River Island ambayo inauzwa $150.
0 comments:
Post a Comment