Tuesday, March 5, 2013

Jennifer Lopez awashukuru marafiki zake wa kike


Jennifer ameweka hisia zake wazi kwa marafiki zake wa kike na kusema kiukweli hakuna marafiki wake wa ukweli kama wakike ambao hata uwe na msongo wa mawazo watakusaidia na kukupa matumaini mapya na alisema hayo kwenye gazeti la Glam Belleza Latina ambako yeye ndiye aliye wekwa kwenye front page

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...