Siku
ya jumatatu Justin Bieber’s
London tour stop haikuwa poa sana kwani jamaa akutokea kwenye stage katika muda
ulio takiwa na kusababisha maneno mengi kutoka kwa mashabiki kuwa dogo amekuwa
na zarau kwani alitakiwa kupanda stage saa 8:30 pm ila akapanda stage saa 10:30
kitu ambacho akikuwa na umakini wa time kutoka kwake .
Kwa
upande wa Justine mwenyewe amesema kuwa kiukweli haikuwa nia yake ila ameomba
msamaha kwa mashabiki wake na kuongeza kuwa haitatokea tena.
0 comments:
Post a Comment