Wa Melody Classic PepezaPepeza~Nipende Tena Video Cooming Soon. Walianza Kushoot Tareh 24/06/2014 na wamemaliza jana tareh 02/07/2014
Visualised By Habby Henxer. Nyimbo Ni Ya kundi namaanisha Wa Melody Classic PepezaPepeza ambapo tupo wawili
Jobfire Wa Melody & Single Sally.
Tunatoa Shukrani zetu za dhati kwa media zote na wadau wa muziki kwa ujumla kwa saport kubwa na ushirikiano mnaotuonyesha katika kuliendeleza gurudumu la muziki pendwa wa bongo flaver.
0 comments:
Post a Comment