Tuesday, October 21, 2014

Tyga amshambulia shabiki aliyediss uhusiano wake na mdogo wa Kim Kardashian

Tyga amshambulia shabiki aliyediss uhusiano wake na mdogo wa Kim Kardashian
Rapper Tyga ameendelea kukabiliana na changamoto na maswali tangu aliponza kuonekana akiwa karibu sana na ndugu wa Kim Kardashian, Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 17.
Hata hivyo, Tyga na watu wa karibu wa familia yake waliiambia E! kuwa wawili hao ni marafiki tu wa kawaida na sio wapenzi kama inavyoaminika.
Jana, shabiki mmoja alizivuta hasira za Tyga baada ya kucomment kwenye picha aliyopost Instagram na kumkosoa vikali rapper huyo kwa kujihusisha na mapenzi na msichana mdogo huku akihusisha na masuala ya malezi ya mwanae.
“Nasty a*s pedophile..your career and family is worth losing over this Kardashian baby thot @kyliejenner..I hope @blacchyna takes you away from your son..you should be locked up.”
Tyga nae alishindwa kuvumilia na kumjibu kwa hasira na kumuonya asimzungumzie mwanae.
“@smartchik78 why u sound so hateful. U don’t know sh*t bout my life but the fake sh*t u read online. Worry about your sad boring life. U wish u can have a baby by a nigga like me and live this lifestyle.let me guess no one wants u or ever attempted to spoil u and give u the world like I do for mines. Your ugly not just physically but in your soul. Never speak on on my son.”

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...