KEYSHIA COLE ALIYE KUWA AMEKAA KIMYA KWA MUDA WA MWAKA MZIMA AMERUDI TENA NA NAKARIBIA KUACHIA ALBUM YA TANO SOO AKIWA KWENYE NDOA YAKE NA MCHEZA BASSKET MAARUFU NCHINI MAREKANI Daniel “BOOBIE” Gibson PAMOJA NA KUBADILISHA MENEJEMENTI YAKE YOTE. AMETANGAZA JINA LA ALBUM HIYO KUWA ITAITWA ‘WOMAN TO WOMAN’.AMESEMA PIA KATIKA ALBUM HIYO AMEFANYA KAZI NA Trey Songz NAKUONGEZA KUWA SINGLE AMBAYO ITATOKA DECEMBER MWAKA HUU WAKATI ALBUM ITATOKA FEBRUARY 2012.AKASEMA ATATAJA TIMU YAKE MPYA INAYO TAMBULIKA KAMA GR8
0 comments:
Post a Comment