Thursday, June 26, 2014

Picha: Abiria wamshushia ‘kichapo’ dereva wa daladala


Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo kutoka kwa abiria baada kutaka kupindua daladala karibu na stendi ya mnazi mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.
Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.Daladala aliyoitaka kuipindua.
Daladala aliyoitaka kuipindua.Dereva wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.Deiakadeiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.

No comments:

Post a Comment